@kondeboy_tz
HarmonizeZiara rasmi ya Mh Rais @samia_suluhu_hassan Kanda Ya ziwa inaanza rasmi leo Simiyu 16/6/2025 Busisi 19/6/ 2025 & Mwanza Me & BAD BOY @marioo_tz Tumepata bahati Ya kuungana nae katika ziara hii ya kimaendeleo . Alhamdulillah ni wajibu wangu kua mzalendo kwa vitendo KONDEBOY 1️⃣
On the profile · Jun 16, 2025